CCT imeshiriki mkutano wa kuwasilisha mapendekezo ya namna ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini. Mkutano huu umeandaliwa na tume iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Mhe Dkt. Samia
Suluhu Hassan. Mkutano huu umefanyika
Tarehe 22/3/2023 jijini Dar es salaam ambapo
CCT imewakilishwa na wanasheria wa CCT
pamoja na Mwenyekiti wa Sera, fedha na
programu za CCT Askofu Nelson Kisare.
Lengo hasa ni kusaidia watu kupata
haki zao wanapokuwa
wa makossa mbalimbalia.